Mwongozo wa vipengee vitano vya kuripoti kuhusu uhamiaji

1. Ukweli si upendeleo

  • Je, tunakuwa sahihi na tumekuwa waadilifu kujumuisha maswala yote yenye ukweli tunaporipoti?
  • Je, tunakuwa huru kutokana na matamshi ya kisiasa na hisia badala ya ukweli?
  • Je, tunaripoti kwa njia ya haki na wazi athari za uhamiaji kwa jamii?

2. Kujua sheria

  • Mtafutaji hifadhi ? Mhamiaji wa kiuchumi? Mkimbizi? Muathiriwa wa ulanguzi wa binadamu? Je, tunaelewa kanuni na kuwasilisha haki za kisheria za kitaifa na kimataifa za wahamiaji kwa hadhira yetu?

3. Onyesha ubinadamu

  • Ubinadamu niwamuhimu katika uanahabari wa kimaadili. Lakini tunapaswa kuthibiti hisia zetu, epusha kudhulumu, kueleweka visivyo na kuelezea matukio katika mtazamo finyu wa kibinadamu usioangazia taswira pana.

4. Zungumza kwa niaba ya wote

  • Je, tuna sauti za wahamiaji? Je, tunazisikiliza jamii ambazo wakimbizi wanapitia au kujiunga nazo ? Dadisi jinisi walivyo waakilishi waliojiteua wa jamii na pia wasemaji wa wahamiaji.

5. Pinga chuki

  • Je, tumejiepusha na itikadi kali? Je, tumepata muda wa kutathmini iwapo taarifa za matamshi ya uchochezi kuhusu wahamiaji ama wanaotaka kuthibiti uhamiaji zinavyoweza kusababisha chuki? Maneno kama vile “nzige”, “mafuriko” na “mawimbi” yanapaswa kutamkwa kwa tahadhari sawa na matumizi ya maneno kama vile “ubaguzi wa rangi” na “chuki dhidi ya wageni”.

Migration Reporting Guidelines

To provide support to journalists covering migration the EJN launched new guidelines in September 2016 at the Global Forum for Media Development. Download the guidelines here, or watch the video below explaining them by the EJN’s chair Dorothy Byrne.

INFOGRAPHICS

RELATED NEWS

Support the work of the Ethical Journalism Network

If you share our mission, please consider donating to the Ethical Journalism Network. Your financial contribution will help the EJN to support journalists around the world who are striving to uphold ethical practices in order to build public trust in good journalism.

SUPPORT US NOW