10th November 2016
By Tom Law

5-Point Test for Hate Speech – Swahili

Download the EJN 5-point test for hate speech in Swahili and use it in your newsroom.

KUGEUZA UKURASA WA CHUKI: KAMPEINI YA VYOMBO VYA HABARI YA UVUMILIVU KWENYE UANAHABARI.

Kuhusu hotuba za chuki, anahabari na wahariri wanapaswa kuchukuwa muda kabla ya maamuzi kuhusu uwezekano wa athari ya hotuba za chuki na uchochezi. Majaribo yafuatayo yaliyotayarishwa na EJN kwa kuzingatia viwango vya kimataifa, yanaangazia maswali katika mchakato wa ukusanyaji, utayarishaji na uenezaji wa habari na kusaidia kuripoti kinachosemwa na anayekisema kwa njia ya kimaadili

 

VIPENGEE 5 VYA MAJARIBIO KWA WANAHABARI

 1. HADHI YA MZUNGUMZAJI

 • Ni vipi malengo yao yanaweza kushawishiwa na hadhi yao ?
 • Je, wanapaswa kusikilizwa ama kupuuzwa ?

2. KIWANGO CHA HOTUBA

 • Hotuba hizo zinaezwa kwa kasi gani ?
 • Kuna mtindo wa tabia ya aina fulani ?

3. MALENGO YA HOTUBA

 • Yamfaidi vipi mzungumzaji na maslahi yao ?
 • Imenuiwa kimaksudi kusababisha kwa wengine ?

4. YALIYOMO KWENYE HOTUBA

 • Je, hotuba ni hatari ?
 • Zinaweza kuchochea ghasia kwa wengine ?

5. MAZINGIRA YA KARIBU KIJAMII/KIUCHUMI/KISIASA

 • Nani anaweza kuathirirwa ?
 • Je, kuna historia ya mzozo ama ubaguzi ?

USIONGEZE CHUMVI !

EPUSHA HARAKA YA KUCHAPISHA

TAFAKARI KWA MUDA

Swahili 5 Point Test for hate speech

Download the EJN 5-point test for hate speech in Swahili and use it in your newsroom

Download


The EJN’s 5-Point Test Infographics

The EJN’s 5-point test infographic has been translated into over 20 languages. Download it and use it in your newsroom. Contact us if you would like to support the campaign by translating the test into more languages.

Hate Speech


Watch the EJN Hate Speech video playlist

The dangers of hate speech in journalism are well known and can have tragic consequences. In response, the Ethical Journalism Network launched the Turning the Page of Hate campaign in 2014 to mark the 20 year anniversary of the Rwandan genocide.